Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Friday, November 9, 2012
SPIKA AKISOMA RIPOTI YA KAMATI YA BUNGE ILIYOWACHUNGUZA WAJUMBE WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI
Spika wa Bunge, Anna Makinda akisoma taarifa ya kamati ya Bunge ya Kuchunguza tuhuma za rushwa dhidi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment