Wednesday, November 21, 2012

WANAFUNZI WAJADILIANA TEKNOLOJIA

Baadhi ya wanafuzi wa Shule za sekondari  waliohudhuria mkutano unaohusu kujadili na kutoa maoni yao jinsi gani  maswala Sayansi ya Satellite itakavyoweza kusaidia bara la Afrika katika elimu ya sayansi hususani kwa wasichana ulioandaliwa na DSTV na eutelsat

No comments:

Post a Comment