Sunday, November 11, 2012

PHILIP MANGULA AWA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM

Mgombea wa kiti cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Phillip Mang’ula akiponhezwa na baadhi ya wajumbe baada ya habari za kupitishwa kwake na kamati kuu ya CCM  kuwa mgombea wa kiti hicho kwa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment