Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Benjamin Mkapa
(kulia) akimtunuku Shahada ya uzamivu(PHD) Zainabu Mshana
katika mahafali ilifanyika jan katika chuo hicho Dodoma na picha nyingine ni
Zainabu Mshana akiwapungi mkuno kwa furaha baada ya kuhitimu PHD yake
katika mahafali ilifanyika jana nje ya ukumbi wa Chimwaga.PICHA KWA HISANI YA IBRAHIM JOSEPH
No comments:
Post a Comment