Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Monday, November 19, 2012
BALOZI WA UGANDA AMALIZA MUDA WAKE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania,Bw.Ibarahim Mukiibi.alipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment