Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Monday, November 19, 2012
JK AMUAGA MAKWETA
Rais Jakaya Kikwete akimfariji mke wa marehemu Jackson Makweta
Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganizesheni wa CHADEMA, Benson Kigaila ( kushoto) akisisitiza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA jijini Dar es Salaam juu ya kusudio la kufanya mikutano ya hadhara ya chama hicho nchini kote.
No comments:
Post a Comment