Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Saturday, November 10, 2012
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiweka shada la maua
kwenye kaburi la Askofu Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga wakati
wa mazishi ya Askofu huyo kwenye Kanisa la Mama wa Huruma, Ngokolo, Shinyanga
leo.
No comments:
Post a Comment