Mwanasheria wa aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini, Mbogolo akifafanua kwa waandishi wa habari na wananchi wengine vipengele vya sheria ambayo vilikuwa vinatolewa hukumu ili kesi ya msingi ya kupinga kuvuliwa ubunge isikilizwe baada ya kukata rufaa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam ;eo. |
No comments:
Post a Comment