Saturday, November 10, 2012

GODFREY MONYO WA ITV AMNASA GADIOSA LAMTEY MWANDISHI WA THE GUARDIAN

Waandishi wa habari Godfrey Monyo wa ITV na Gadiosa Lamtey wa The Guardian wakiingia kanisani tayari kwa kufunga ndoa yao katika kanisa la St Peter, Oysterbay jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment