Wednesday, November 21, 2012

PICHA ZA RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN KUONDOKA NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na  Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akielekea Nchini Vietnam kwa ziara rasmi ya Kiserikali,katika ziara hiyo Rais amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na Mawaziri na Maofisa  mbali mbali

No comments:

Post a Comment