Friday, November 9, 2012

RAIS AWASILI DODOMA KWA AJILI YA KUONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo mchana(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment