MKURUGENZI Mtendaji wa Sauti za Busara Promotion Yussuf Mahmoud,
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya habari na
maelezo huko Kikwajuni kuhusu mgogoro wa mapato na Matumizi
uliyojitokeza kati ya wanafamilia wa Msanii mkongwe Fatma biti Baraka
'Bikidude' na Uongozi wa Taasisi hiyo ulisema mapato na matumizi ya
msaanii huyo ya shilingi milioni 36 ametumia mwenyewe kulingana na
mahitaji yake na kubakia chenji ya shilingi milioni 3.6 kabla ya kuanza
kuumwa mwaka huu.. |
No comments:
Post a Comment