Wednesday, November 7, 2012

ASANTENI NDUGU ZANGU KWA KUNIPIGIA KURA AMBAZO HAZIKUTOSHA KUMTOA RAIS OBAMA IKULU

Aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Romny akiwa na mkewe na familia yake akitoa shukrani kwa Wamarekani baada ya kumpigia kura ambazo hazikutosha kumfanya awe rais wao.

No comments:

Post a Comment