Friday, November 9, 2012

SIKILIZA MZEE HAPA PESA INAIBWA INAWEKWA NJE YA NCHI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe akizungumza na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kuwasilisha hoja binafsi ndani ya Bunge mjini Dodoma akilitaka bunge kuchukua hatua kwa wale wenye akaunti za fedha nje ya nchi.

No comments:

Post a Comment