Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Thursday, November 22, 2012
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa(kulia) akimtunuku shahada ya uzamivu
(PHD) Victor George jana katika mahafali ya tatu tangu kuanzishwa kwa
chuo hicho
No comments:
Post a Comment