Monday, November 12, 2012

NIMR YATOA MATOKEO CHANYA YA UTAFITI WA CHANJO YA MALARIA

Wataalam wa Afya wakifuatilia kwa makini matokeo ya utafiti wa chanjo ya malaria kwa watoto iliyokuwa inawasilishwa na Dk Samuel Gesase wa kituo cha Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu kituo cha Korogwe.

No comments:

Post a Comment