Wednesday, November 14, 2012

WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA RELI YA TAZARA WAGOMA WAKISHINIKIZA KULIPWA MISHAHARA YAO YA MWEZI SEPTEMBA NA OKTOBA NA WAMETISHIA KUSIMAMISHA HUDUMA YA TRENI YA PUGU MWAKANGA. PIA BAADHI YA ABIRIA WAKIWA WAMEKAA CHINI ENEO LA KUKATIA TIKETI ZA KWENDA MBEYA


No comments:

Post a Comment