Msanii maarufu wa Zanzibar Fatma biti Baraka
'Bikidude' Uongozi wa Sauti za Busara Promotion wafafanua juu ya mgogoro uliojitokeza kati ya wanafamilia wa msanii huyo na taasisi hiyo juu ya mapato na matumizi ya msaanii
huyo ambapo Mkurugenzi wa taaisis hiyo amefafanua kuwa kati ya shilingi milioni 36 alizopata ametumia mwenyewe kulingana na mahitaji yake na
kubakia chenji ya shilingi milioni 3.6 kabla ya kuanza kuumwa mwaka huu..
No comments:
Post a Comment