Friday, November 9, 2012

SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA AKISOMA RIPOTI YA KAMATI YA BUNGE

Spika wa Bunge, Anna Makinda akisoma taarifa ya kamati ya Bunge ya Kuchunguza tuhuma za rushwa dhidi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment