Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Saturday, November 10, 2012
ASKOFU ALOYSIUS BALINA WA SHINYANGA AZIKWA
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimpa pole na kumfariji Mama Theresia Nigo, mama yake mzazi
Askofu Aloysius Balina wakati wa mazishi ya Askofu huyo kwenye Kanisa la Mama
wa Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.
No comments:
Post a Comment