Rais Jakaya
Mrisho akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mhashamu Baba Askofu
Aloysius Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga baada ya kuwasili kwenye Kanisa
la Mama wa Huruma katika Parokia ya Ngokolo mjini Shinyanga kushiriki mazishi
ya Askofu huyo leo,
|
No comments:
Post a Comment