Tuesday, November 6, 2012

RAIS KIKWETE AMFARIJI SHEIKH SORAGA

Rais Jakaya Kikwete akimfariji Katibu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Fadhil Suleiman Soraga ambaye amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi  jijini Dar es Salaam baada ya kumwagiwa tindikali usoni na mgongoni  na watu wasiojulikana katika mtaa wa Magogoni Msumbiji Zanzibar jana

No comments:

Post a Comment