Sunday, November 11, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE ASALIMIANA NA MREMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa chama cha upinzani cha TLP Augustine Lyatonga Mrema wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano mkuu wa nane wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment