Friday, November 16, 2012

Baadhi ya abiria waliokuwa wanaelekea Mbeya na Zambia kwa treni ya Tazara wakiwa wamelala nje ya stesheni jijini Dar es Salaam baada ya treni iliyokuwa inakwenda Mbeya hadi Zambia kufutwa hadi Jumatatu


No comments:

Post a Comment