Watu wa tatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi
kwa madai ya kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroin katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
ambayo yalikuwa yanasafirishwa kuelekea nchini China
kupitia Hong Kong. Jumla ya kete 194 zenye
thamani ya shilingi milioni 156
|
No comments:
Post a Comment