Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Thursday, November 15, 2012
BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA SINGIDA LAMKATAA MHANDISI WA UJENZI na mhandisi wa ujenzi katika halmashauri hiyo, Robert Masoro kutokana na kukorofishana na wakandarasi mara kwa mara, pia kushindwa kumudu usimamizi wa miradi ya ujenzi.
Diwani Gwae Mbua wa kata ya Mwankoko akimlalamikia
mhandisi wa ujenzzi manispaa Singida Robert Massoro kwenye baraza la
madiwani ktk ukumbi wa FDC na kufikia azimio la kumkataamhandishi wa ujenzi.
No comments:
Post a Comment