Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Thursday, November 8, 2012
ALIYEKUWA MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA WAPENZI WA CHADEMA NJE YA MAHAKAMA YA RUFAA JIJINI DARE ES SALAAM.
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) Godbless Lema akizungumza na wapenzi wa Chama hicho waliomsindikiza kusikiliza kesi yake ya kupinga matokeo ya kuvuliwa ubunge katika Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment