Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa mpira,
mjini Geita mkoani Geita, jioni hii, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake
ya mikoa minne kujitambulisha kwa wanachama na kukagua uhai wa chama ngazi za
mashina na matawi na kusimamia na kueleza utekelezaji wa ilani ya Chama. Picha kwa hisani ya Bashir Nkoromo
|
No comments:
Post a Comment