Mjumbe
wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, John Theobard akigawa nakala
za machapisho mbalimbali yanayotolewa na Tume hiyo kwa wananchi wa Kata ya
Rhotia Wilaya ya Karatu mkoani Arusha wakati wa mkutano wa kukusanya maoni ya
wananchi kuhusu Katiba Mpya katika kata hiyo jana |
No comments:
Post a Comment