Mhitimu wa Shahada ya uzamivu (PHD) Chuo Kikuu
cha Dodoma Philemon Sengati(38) akinyanyua mikono juu ikiwa ni ishara ya
kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kumaliza masomo yake ya PHD Na
Picha nyingine akiwa na Mtoto wake Joyce Sengati(4) baada ya kuhitimu
katika mahafali iliyofanyika jana Chuoni hapo
|
No comments:
Post a Comment