Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Wednesday, November 21, 2012
ZIARA YA KATIBU WA CCM MTWARA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya
wananchi, katika Uwanja wa Soko Kuu mjini Mtwara, leo akiwa katika ziara ya
siku moja mkoani humo.
No comments:
Post a Comment