Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Monday, November 19, 2012
Mkazi wa Kata ya Rhotia Wilaya ya Karatu mkoani
Arusha, John Nando (73)akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya mbele ya Wajumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano ulioitishwa na Tume hiyo jana
jumatatu Novemba 19, 2012 katika Kata hiyo.
No comments:
Post a Comment