Friday, November 9, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI DODOMA TAYARI KWA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea mjinji Dodoma ambapo ataongoza mkutano Mkuu wa CCM.

No comments:

Post a Comment