Wajumbe
wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Charles Masero (kulia),
Rebbeca Kajiru (katikati) na Mussa Kombo wakikusanya maoni ya wananchi kuhusu
Katiba Mpya katika njia ya maandishi wakati wa mkutano uliotishwa na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba katika Kata ya Rhotia, Wilaya ya Karatu mkoani Arusha |
No comments:
Post a Comment