Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Mwantumu Malale akizungumza wakati wa
mkutano baina ya wajumbe wa Tume hiyo na Viongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya
Karatu jana jumatatu Novemba 19, 2012 kabla ya kuanza kazi ya ukusanyaji maoni
ya wananchi kuhusu Katiba Mpya Wilayani humo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya
Karatu, Daudi Ntibenda.
|
No comments:
Post a Comment