Saturday, November 24, 2012

DR SHEIN AKIWA NA RASI WA VIETNAM MARA BAADA YA KUWASILI IKULU YA NCHI HIYO

Rais wa Zanzibar  Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang,alipofika Ikulu ya Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili hizi,[Picha na Ramadhan Othman,Vietnam.PICHA:IKULU ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment