Wafuasi wa Chadema wa jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye matembezi wakitokea katika Mahakama ya Rufaa ambako walimsindikiza aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ambaye anapinga kuvuliwa ubunge wake. Kesi hiyo imesikilizwa jijini Dar es Salaam leo ambapo imeahirishwa. |
No comments:
Post a Comment