Mwanamuziki wa bendi Machozi Lady Jaydee
akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari wa vyombo mbalimbali
kuhusu kuanzisha kwa kipindi cha TV kitakachoitwa DIARY YA LADE JAYDEE ambacho
kitaonekana katika kituo cha Televisheni ya EATV. Kkushoto ni Mkuu wa Vipindi
(EATV) Lydia Igarabuza
|
No comments:
Post a Comment