Friday, November 9, 2012

MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI ZITTO AWASILISHA HOJA BINAFSI BUNGENI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe akiwasilisha hoja binafsi Bungeni akilitaka kuchukua hatua kali kwa wale wenye kuhodhi akaunti za fedha nje ya nchi.

No comments:

Post a Comment