Tuesday, November 13, 2012

HARAMBEE STARS WAWASILI TAYARI KUVAANA NA STARS JIJINI MWANZA

Baadhi ya wachezaji wa Harambee Stars wakiwasili katika hotel ya G&G Jijini Mwanza walikopangiwa ambapo timu hiyo itajipima nguvu na Taifa Stars kwenye uwanja wa CCM Kirumba leo.

No comments:

Post a Comment