Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Saturday, November 10, 2012
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mhashamu Baba Askofu
Aloysious Balina wa Jimbo Katoliki la Shinyanga wakati wa mazishi wa Askofu
huyo kwenye Kanisa la Mama wa Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.
No comments:
Post a Comment