Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganizesheni wa CHADEMA, Benson Kigaila ( kushoto) akisisitiza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya CHADEMA jijini Dar es Salaam juu ya kusudio la kufanya mikutano ya hadhara ya chama hicho nchini kote. Kulia ni Afisa Habari CHADEM A, Tumaini Makene.
No comments:
Post a Comment