Thursday, November 8, 2012

GODBLESS LEMA AKITEMBEA NA WAFUASI WA CHADEMA WAKATI AKITOKA MAHAKAMA YA RUFAA JIJINI DAR ES SALAAM

Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini,kupitia Chadema ,Godbless Lema (katikati) akiwa anatembea na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kesi yake ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyokuwa inasikilizwa katika Mahakama ya Rifaa jijini Dar es Salaam kuahirishwa leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment