Tuesday, November 13, 2012

MBWANA SAMATTA AKIWA NA KIM POULSEN KWENYE MAZOEZI

Kocha wa timu ya Taifa Kim Poulsen akizungumza na Mbwana Samata wakati wa mazoezi ya timu ya Taifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari kwa kupambana na timu ya Taifa ya Kenya.

No comments:

Post a Comment