Dr Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom
Foundation Yessaya Mwakifulefule katika viwanja vya Hindu Mandal mjini
Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha
Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom
Foundation. |
No comments:
Post a Comment