Sheikh Ponda Issa Ponda, akisindikizwa na askari magereza kutoka chumba cha mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, ambapo yeye pamoja na wafuasi wake 50, wamesomewa maelezo ya awali ya kesi dhidi yao ya kuvamia eneo la Markas Chang'ombe, ambapo waliiba na kufanya uharibifu. Wamekana mashtaka yote dhidi yao |
No comments:
Post a Comment