Waziri Mkuu Mstaafu Dk Salimu Ahmed Salim akizungumza na waaandishi wa habari mara baada ya kuzindua kitabu kilichoandikwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Juma Mwapachu kinachohusu Upeo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mtanagamano waAfrika-(Challenging the Frontiers of Africa Intergration). Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment