Maalum kwa habari mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, kijamii, michezo na burudani pamoja na matukio.
Sunday, April 15, 2012
Mwanamuziki Lwiza Mbutu wa Twanga Pepeta (katikati) akipokea Tuzo ya Wimbo Bora wa mwaka wa Kiswahili katika sherehe za Kilimanjaro Music Award
Awaichi Mawalla (kushoto) akimkabidhi Maneck (watatu kushoto) Tuzo Kilimanjaro Music Award baada ya kuwa Mtayarishaji bora wa Muziki (Producer)
Isha Mashauzi (kulia) akiwa na Tuzo ya Kilimanjaro Music Award baada ya kuibuka kuwa msanii mwenye wimbo Bora wa Taarabu
Wanamuziki wa kundi la Vifuu Tundu (wapili kushoto) wakipokea Tuzo ya Wimbo wenye vionjo vya Asili katika Kilimanjaro Music Award
Mwanamuziki Roma akiwa na Tuzo yake ya Kilimanjaro Music Award baada ya kuibuka kuwa na Wimbo Bora wa Hip Hop
Rapa Bora wa Mwaka Kalidjo Kitokololo (kushoto) akiwa na rapa wa Twanga Pepeta Msafiri Diof mara baada ya Kitokololo kutunukiwa tuzo yake ya Kilimanjaro Music Award
Subscribe to:
Posts (Atom)