Friday, April 6, 2012


Waumini wa dini ya Kikristo wakiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar esSalaam leo.
Grace Michael akibusu Msalaba katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar esSalaam leo
Mmoja wa watoto akibusu msalaba katika kumbukumbu ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar esSalaam leo
Rais Jakaya Kikwete akiwa mwenye furaha mara baada ya kutangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Katiba Mpya Ikulu jijini Dar esSalaam leo

Muumini wa dini ya Kikristo akibusu Msalaba katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar esSalaam leo.

Irene Mark akibusu Msalaba katika maadhimisho ya Ijumaa Kuu  iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar esSalaam
Rais Jakaya Kikwete akitoa ufafanuzi jinsi tume Katiba Mpya itakavyofanyakazi mara baada ya kuitangaza Ikulu jijini Dar es Salaam jana ambapo alisema itaanza kazi mwezi Mei mwaka huu na itaapishwa na itafanyakazi kwa muda wa miezi 18