Sunday, November 4, 2012

Balozi wa Fifa,ambaye alikuwa ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ghana,Abed Pele (watatu kushoto mstari wa nyuma)akipiga picha na watoto wenye umri wa miaka 13 wanaolelewa TFF,wakati alipotembelea ofisi za TFF jijini Dar es Salaam kuangalia programme za uendelezaji wa soka nchini.

Balozi wa Fifa, Abed Pele akisalimiana na timu ya watoto waliochini ya miaka 13 ambayo inalelewa na Shirikisho la soka nchini,TFF, wakati alipokwenda kukagua mipango ya uendelezaji wa soka nchini.

Balozi wa Fifa,ambaye alikuwa ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ghana,Abed Pele akipiga picha na wachezaji wa timu ya Taifa ya Vijana, Serengeti Boys wakati alipotembelea ofisi za TFF jijini Dar es Salaam kuangalia programme za uendelezaji wa soka nchini.

Balozi wa Fifa,ambaye alikuwa ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ghana,Abed Pele akisalimiana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Vijana, Serengeti Boys wakati alipotembelea ofisi za TFF jijini Dar es Salaam kuangalia programme za uendelezaji wa soka nchini.

Balozi wa Fifa,ambaye alikuwa ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ghana,Abed Pele akisalimiana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Vijana, Serengeti Boys wakati alipotembelea ofisi za TFF jijini Dar es Salaam kuangalia programme za uendelezaji wa soka nchini.

Balozi  wa Shirikisho la soka duniani Fifa, Abed Pele wa Ghana akiwa anapeana mikono na wachezaji wa Serengeti Boys wakati alipotembelea ofisi za TFF, zilizopo Karume jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia programme za kuendeleza soka nchini.

Balozi wa Fifa,Abed Pele akiwa katika picha ya pamoja na timu ya vijana ya Taifa Serengeti Boys wakati alipokwenda ofisi za TFF kuangalia mipango ya uendelezaji wa soka nchin